G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,714
- 36,514
- Thursday at 7:28 PM
- #1
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 32,156
- 93,970
- Thursday at 7:31 PM
- #2
Ooky!!!
CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 10,755
- 19,965
- Thursday at 7:33 PM
- #3
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Inaweza kuwa kisomo cha Tanga kimeanza kujibu
Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,350
- 4,229
- Thursday at 7:34 PM
- #4
Wale wa D mbili tufungulieni code
TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 27,579
- 14,918
- Thursday at 7:35 PM
- #5
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Chakadomoz Kwa kusutana
Hamjambo
M
mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 779
- 1,425
- Thursday at 7:35 PM
- #6
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Mmh! Hili bandiko nafikili umewakusudia watu mliosoma Cuba🤣🤣🤣
ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 13,145
- 48,464
- Thursday at 7:36 PM
- #7
Snowpiercer said:
Wale wa D mbili tufungulieni code
Mbowe
Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 36,318
- 93,548
- Thursday at 7:36 PM
- #8
Nilijua mwanajf
Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,154
- 11,595
- Thursday at 7:36 PM
- #9
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Usimkurupue,ngoja ajimalize kwenye 18,aseme vizuri
Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,219
- 46,558
- Thursday at 7:37 PM
- #10
Snowpiercer said:
Wenye D mbili tufungulieni code
Jon mlemavu
macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 24,688
- 47,702
- Thursday at 7:38 PM
- #11
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Huu ndiyo unaitwa ulevi wa madaraka. Unaona wengine kama siyo binadamu mpaka pale madaraka yanapoisha. Walijiamini sana kwa sasa dola ilikuwa nyuma yao. Si ajabu dola hiyo hiyo ndiyo iliwauza.
T
Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,411
- 6,720
- Thursday at 7:41 PM
- #12
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Ohooo!
M
mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 779
- 1,425
- Thursday at 7:42 PM
- #13
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Nimeweza kufungua kodi, ukitulia habari inaeleweka kiraisi sana
M
msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 676
- 395
- Thursday at 7:42 PM
- #14
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Nini shida? au kule kutaka kuongea na vyombo vya habari?
G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,714
- 36,514
- Thursday at 7:44 PM
- Thread starter
- #15
msapinungu said:
Nini shida? au kule kutaka kuongea na vyombo vya habari?
Sasa huyu ana nini cha kusema? Na atishie kitu gani? Tulisema haiwezekani wanaotekwa wawe Chadema tu! Kuna kitu! Sasa?
F
Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,195
- 8,484
- Thursday at 7:46 PM
- #16
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Kwa hiyo Mrema alijhusika katika kupotea kwa wanachama wa CDM? Taarifa hizo alikuwa anampelekea nani?
Chonde chonde mnakoelekea si kuzuri,
Amandla...
V
Vikintu
JF-Expert Member
- May 26, 2021
- 2,005
- 3,084
- Thursday at 7:48 PM
- #17
G Sam said:
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Kama mmeingia kwa gia hiyo ya visasi hamtafika popote. Niko pale, nawasubiri.
F
Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,195
- 8,484
- Thursday at 7:48 PM
- #18
G Sam said:
Sasa huyu ana nini cha kusema? Na atishie kitu gani? Tulisema haiwezekani wanaotekwa wawe Chadema tu! Kuna kitu! Sasa?
Ulitaka wa chama kipi kingine watekwe maana inaelekea wanachama wa ACT Wazalendo walioumizwa hauwaoni.
Amandla...
kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,679
- 3,376
- Thursday at 7:51 PM
- #19
Ngoja tuone mwisho wake
TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 27,579
- 14,918
- Thursday at 7:53 PM
- #20
Fundi Mchundo said:
Kwa hiyo Mrema alijhusika katika kupotea kwa wanachama wa CDM? Taarifa hizo alikuwa anampelekea nani?
Chonde chonde mnakoelekea si kuzuri,
Amandla...
Acha wamanuane
You must log in or register to reply here.